Mkuu wa chuo cha biaashara na ujasiriamali (LISBON BUSINESS COLLEGE)anawatakia wakurugenzi, wafanyakazi, wanachuo, marafiki na watu wote wanaohusika na chuo kwa namna moja au nyingine heri ya sikukuu ya krisimasi na Mwaka mpya. tuwe na amani katika sherehe zote za mwakampya na krisimasi.
Lisbon College
Wednesday, December 24, 2014
Friday, December 19, 2014
TAREHE YA KUFUNGA CHUO
CHUO KITAFUNGWA LEO TAREHE 19/12/2014 IKIWA NI MAPUMZIKO YA SHEREHE ZA MWAKAMPYA NA KRISMASS. CHUO KITAFUNGULIWA TENA TAREHE 12/1/2015 IKIWA NI MUHULA MPYA WA MASOMO.
MAMBO YAFUATAYO NAPASWA KUZINGATIWA KWA WANAFUNZI WOTE WANAOFUNGA CHUO
1. KUKAMILISHA ULIPAJI WA ADA KWA WOTE WANAODAIWA
2. KWA WALE WANAOMALIZA KUFANYA CLEARANCE MAHALI HUSIKA KABLA YA CHRISTMAS
3. KWA WALE WANAOENDELEA MNAOMBWA KUHAKIKISHA MNAPATA MATOKEO KABLA YA CHUO KUFUNGULIWA.

TANGAZO LA KOZI MPYA. LISBON BUSINESS COLLEGE
CHUO CHA BIASHARA CHA LISBON KINAKUTANGAZIA KOZI MPYA KWA MWAKA MPYA WA 2015. KOZI HIZO NI;
1. PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT
2. PROPOSAL WRITING SKILLS
3.HEALTH ECONOMY
KOZI HIZI PAMOJA NA KOZI NYINGENE ZITAANZA KUTOLEWA JANUARY 12, MWAKA 2015.
Subscribe to:
Posts (Atom)