Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Monday, February 16, 2015

TANGAZO TANGAZO.

TANGAZO TANGAZO.

WANAFUNZI WOTE WANAOSOMA MASOMO YA ACCOUNTING MNAOMBWA KUUDHULIA PRESENTATION SIKU YA IJUMAA TAREHE 20/02/2015. WATAKAO FANYA PRESENTATION KWA SIKU HIO NI;

SARAH CELESTINE
WINIFRIDA SILAYO

MAKSI ZITATOLEWA KWA WOTE WATAKAO HUDHULIA.
NEW!!!!!

UONGOZI WA CHUO CHA BIASHARA NA UJASIRIAMALI LISBON BUSINESS COLLEGE, UNAWATANGAZIA UMA KWAMBA YEYOTE MWENYE UWEZO NA VIGEZO VYA KUFANYA MATANGAZO NA MASOKO AFIKE CHUONI SIKU YA IJUMAA KWA AJILI YA USAILI WA KWANZA.

MAMBO YAFUATAYO YAZINGATIWE


  1. FIKA NA NAKALA YA VYETI VYAKO
  2. AMBATANISHA BARUA YA KUOMBA KAZI
  3. WASIFU WA MWOMBAJI (CV)


USAILI UTAFANYIKA SIKU MOJA NA MAJIBU KUTOLEWA.

WOTE MNAKARIBISHWA! 
MPYA!!!!!!!!!
Chuo kimesajiriwa na VETA kwa usajiri namba VET/DSM/PR/2014/2014/D/086 
Kwa wale wahitimu wa kidato cha nne hongereni sana kwa matokeo mazuri.



CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWEZI MARCH KATIKA KOZI MBALIMBALI N GAZI YA CHETI.

WALENGWA NI WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE. KOZI ZINAZOTOLEWA CHUONI NI 


  1. ACCOUNTING
  2. PROCUREMENT
  3. BUSINESS ADMINISTRATION
  4. SECRETARIAL SERVICES
  5. PIA NA SHORT KOZI ZA KILA AINA



WAHI SASA CHUONI KUJIANDIKISHA MUHULA WA MASOMO UNAANZA MWEZI WA TATU. FORM ZA KUJIANDIKISHA ZINAPATIKANA CHUONI KWA GHARAMA YA SHILINGI 10,000, ADA NI NAFUU KABISA NA MWANAFUNZI ATALIPA KWA AWAMU MBILI MPAKA TATU.

KARIBUNI WOTE

Tuesday, February 10, 2015

NEW!!!!!!!!!!NEW!!!!!!!!!NEW!!!!!!!!!!!



NEW!!!!!!!!!!!!
KWA WALE WANAFUNZI WOTE WA NABE , MNATAKIWA KUWA MMEKAMILISHA MALIPO YENU KWA AJIRI YA MTIHANI WA MWISHO UTAKAOFANYIKA MWEZI WA SITA KWANZIA TAREHE 1-5, 2015. 
ADA YA USAJIRI NA MTIHANI NI  SHILINGI 25,000. NA MWISHO WA KULETA PESA HIZO NI TAREHE 20/2/2015.
NEW!!!!!!!!
KWA WANAFUNZI WOTE AMBAO HAWAJAMALIZA ADA MNAOMBWA KUFANYA HIVYO MAPEMA KABLA YA KUFANYA TEST ZA PILI. NA KWA WALE AMBAO HAWAJALIPA KABISA MNAOMBWA KUANZA UTARATIBU WA KULIPIA ADA KWA MUDA MUAFAKA. 

IMETOLEWA NA MKUU WA CHUO LBC

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

TANGAZO KWA WALE WOTE WANAHITAJI. ILE PROGRAMU YA UHASIBU NA FEDHA INAYOTUMIWA NA WATU, MAKAMPUNI NA OFISI MBALIMBALI TALLY, SASA INAPATIKANA NA KUFUNDISHWA CHUONI HAPA. WAHI SASA UJIANDIKISHE KWA KUANZA MAFUNZO HAYO.
ADA YAKE NI NAFUU NA KWALE WANAFUNZI WA HAPA CHUONI WATAPEWA PUNGUZO LA MPAKA ASILIMIA 50% YA ADA. KWA WALE WOTE WATAKAOHITIMU PROGRAMU HIO WATAPEWA VYETI.

Imetolewa na uongozi wa chuo idala ya Sayansi ya Kompyuta na Teknolojia.

PRESENTATION ON FRIDAY. (SECRETARIAL DUTIES & OFFICE PRACTICE)

CHUO KINAPENDA KUWATANGAZIA WOTE KWAMBA KUTAKUA NA PRESENTATION SIKU YA IJUMAA 13/02/2014 KUTOKA KWA WANAFUNZI WA KOZI ZA SECRETARIAL DUTIES NA CUSTOMER CARE, ITAKAYO ANDALIWA NA KUTOLEWA NA WANAFUNZI REHEMA ROTH NA MEIDA KABOGO. HIVYO BASI WANAFUNZI WOTE MNAKARIBISHWA KWA AJIRI YA KUSHIRIKI KWA KILICHOANDALIWA NA WANAFUNZI HAO.

MAHALI;  LECTURE HALL (LBC)
MUDA; 03:00-04:00 JIONI

TOPICS
  1. OFFICE PRACTICE
  2. SECRETARIAL DUTIES

RATIBA MPA YA MASOMO KWA MWAKA 2015. FINAL DRAFT