Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Saturday, March 14, 2015

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

WALE WOTE WALIOCHUKUA FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO MNAOMBWA KUFIKA CHUONI SIKU YA JUMANNE TAREHE 17/3/2014 KWA AJIRI YA USAHIRI.

Saturday, March 7, 2015

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA LISBON COLLEGE

CP .  Ba Ec. Calvin Obeld

MKUU WA CHUO CHA LISBON BUSINESS, ANAYO FURAHA KUWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI, LISBON BUSINESS COLLEGE INAYO FURAHA KUBWA KATIKA SIKUKUU YA LEO

Friday, March 6, 2015

NEW!!!!!!       NEW!!!!!         NEW!!!!!!!
LEO IJUMAA YA TAREHE 6/3/2015 KUTAKUA NA PRESENTATION AMBAYO ITAHUSU MATUMIZI YA KOMPYUTA PIA NA KWA MASOMO YA UCHUMI NA BIASHARA

WATAKAOFANYA PRESENTATION HIO NI 

FLORA MBIJIMA
WINIFRIDA SILAYO

Thursday, March 5, 2015

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

KWA WALE WATAHINIWA WA NABE FOMU ZA KUJAZA KWA AJIRI YA KUFANYA MTIHANI ZIKO TAYARI. FIKA OFISINI KWA SECRETARI KWA AJIRI YA KUJAZA FOMU HIZO UKIWA NA PICHA TATU. PASSPORT SIZE.

IMETOLEWA NA MKUU WA CHUO

LISBON BUSINESS COLLEGE.
NEW!!!!
FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO SASA ZINAPATIKANA KWA GHARAMA YA SHILINGI ELFU KUMI TU. WAHI SASA KWANI NAFASI NI CHACHE.