Lisbon College
Monday, May 9, 2016
Tuesday, May 3, 2016
Sunday, May 1, 2016
Saturday, April 23, 2016
Thursday, April 14, 2016
Tuesday, April 12, 2016
Wednesday, April 6, 2016
Thursday, March 31, 2016
PATA FORM YA KUJIUNGA NA CHUO KWA KUDOWLOAD HAPA
Form Number 1. |
Form Number 2. |
Form Number 3 |
Form Number 4. |
Form Number 5. |
Fomu za kujiunga na chuo zipo kurasa tano, kwanzia fomu namba moja mpaka namba tano. Unatakiwa kudowload form zote hizi kisha kuzijaza na kuzirudisha chuoni au kuzituma kwa njia ya Posta S.L.P 79422 Dar es Salaam au katika email ya chuo ambayo ni info.lisboncollege@gmail.com. Form ikirudishwa ilipiwe kiasi cha shilingi elfu kumi na tano tu (15,000) katika account namba ya chuo ACCOUNT NUMBER 0150275201700, LISBON VENDORS LTD CRDB BANK.
NA UNATAKIWA KUWA UMERUDISHA FOMU HII NA KUAMBATANISHA NAKARA HALISI YA RISITI YA MALIPO YA FORM KABLA TA TAREHE 11/4/2016
NA UNATAKIWA KUWA UMERUDISHA FOMU HII NA KUAMBATANISHA NAKARA HALISI YA RISITI YA MALIPO YA FORM KABLA TA TAREHE 11/4/2016
KARIBUNI LISBON BUSINESS COLLEGE
Tuesday, March 22, 2016
Monday, March 21, 2016
Wednesday, March 16, 2016
Thursday, March 10, 2016
NEW!! NEW!!! LIKIZO KWA WANAFUNZI SEMESTER YA KWANZA
MKUU WA CHUO ANAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE KWAMBA LIKIZO YA KUFUNGA SEMESTER ITAANZA LEO TAREHE 11/3/2016 NA LIKIZO HIO KUISHA TAREHE 28/3/2016. WANAFUNZI WOTE AMBAO HAWAJAMALIZIA MADENI YAO MNAOMBWA KUKAMILISHA KABLA YA KWENDA LIKIZO.
IMETOLEWA NA UONGOZI WA CHUO
LISBON BUSINESS COLLEGE
Monday, March 7, 2016
Monday, February 29, 2016
LBC YAPIGA HATUA KATKA VYOMBO VYA HABARI
Subscribe to:
Posts (Atom)