Lisbon College
Thursday, June 18, 2015
TAARIFA KWA WANAFUNZI.
MKUU WA CHUO ANAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE KWAMBA MITIHANI YA KUFUNGA CHUO ITAANZA TAREHE 29/6/2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 6/7/2015 PIA CHUO KITAFUNGWA SIKU HIO.
CHUO KITAFUNGULIWA TENA TAREHE 3/8/2015 NA MUHURA MPYA WA MASOMO UTAANZA TAREHE HIO. WALE WOTE AMBAO HAWAJAMALIZA MALIPO NA USAJIRI MNAOMBWA KUKAMILISHA MAPEMA.
IMETOLEWA NA MKUU WA CHUO
LISBON BUSINESS COLLEGE
Sunday, June 14, 2015
CHUO KINATANGAZA TENDA KWA WAJASIRIAMALI WOTE WA KUSHONA NGU.
Lisbon Business College inatangaza kwa wote wenye ubunifu wa kutengeneza mavazi ya wanafunzi yani Unifomu kwamba chuo kina uhitaji wa sare za wanafunzi. hivyo basi chuokinatoa tenda kwa mtu yeyote ambaye anaweza kutengeneza sare nzuri na kuleta sampo chuoni ili kupata tenda ya kutengeneza sare za wanafunzi wa Lisbon Business College.
Subscribe to:
Posts (Atom)