Lisbon Business College inatangaza kwa wote wenye ubunifu wa kutengeneza mavazi ya wanafunzi yani Unifomu kwamba chuo kina uhitaji wa sare za wanafunzi. hivyo basi chuokinatoa tenda kwa mtu yeyote ambaye anaweza kutengeneza sare nzuri na kuleta sampo chuoni ili kupata tenda ya kutengeneza sare za wanafunzi wa Lisbon Business College.
No comments:
Post a Comment