Lisbon College
Tuesday, September 15, 2015
Monday, September 14, 2015
NAFASI ZA MASOMO
Lisbon Business College ni chuo kinachotoa mafunzo kwa kozi za cheti na diploma sasa kinatangaza nafasi za masomo kwa kazi hizo.
Certificate in Accounting (NABE)
Certificate in Store keeping (NABE)
Basic Computer Application (BCA)
Walengwa ni wote waliomaliza kidato cha nne na kuendele. Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana Chuoni au kwenye tuvuti yua chuo www.lisbonbusinesscollege.ac.tz.
Kwa mawasiliana zaidi wasiliana mija kwa moja na uongozi wa chuo kwa namba +255 718 457311,
Sunday, September 13, 2015
Friday, September 4, 2015
Wednesday, September 2, 2015
TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE
Taarifa maalumu kwa wanafunzi wote.
Imetokea kuwa ni mazoea kwa wanafunzi kutozingatia sheria za chuo na hivyo kupunguza ufanisi katika masomo yao. chuo kinapenda kuwakumbusha na kuwatahadhalisha wanafunzi wote kuhusiana na ufuatwaji wa sheria za chuo. kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakichelewa kufika madarasani na katika vyumba vya kufanyia mitihani. chuo kinapendekeza adhabu kali zitolewe na walimu kwa mwanafunzi yeyote atakekiuka sheria za chuo. kwa mfano mwanafunzi atakapochelewa kuingia darasana zaidi ya dakika 15 azuiliwe kuingia darasani na pia katika mitihani ya ngazi zozote zile itakayo fanyika hapa chuoni kama mwanafunzi atachalewa kuwasili zaidi ya dakika 30 basi azuiliwe kufanya mtihani huo. Kwa utaratibu huu wanafunzi na walimu wao watafanikiwa katika kuimarisha nidhamu ya masomo kwa wanafunzi na kuboresha maendeleo ya elimu kwao.
Imetolewa na Mkuu wa chuo
Lisbon Business College
Subscribe to:
Posts (Atom)