Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Wednesday, June 6, 2018

AJARI YA BASI NA TRENI YAUA


Leo June 6, 2018 Bus la  Princess HAMIDA trans lenye namba za usajili T 885 DLD linalotoka Kigoma kwenda Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora limegonga gari moshi la mizigo katika eneo la Gungu Wilaya ya Kigoma mjini.
Watu saba wamefariki huku idadi ya vifo ikihofiwa kuongezeka kutokana na hali mbaya za majeruhi.
Inaelezwa kuwa basi hilo nilikuwa likitoka Kigoma kuelekea Tabora.

Prof. NDALICHAKO AKILIA MARA TU BAADA YA KUONA MIILI YA WATOTO MARIA NA CONSOLATA


Leo June 6, 2018 Watu mbalimbali wamejitokeza kuwaaga Pacha waliounganaakiwemo Waziri Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.  Joyce Ndalichako ambapo ametoa heshima za mwisho kwa Miili ya Maria na Consolata.

LIVE MAGAZETI: JENEZA LA MARIA NA CONSOLATA LAWATOA JASHO MAFUNDI, VURUGU ZA TIKISA BUNGE

TANZIA: MIILI YA WANAFUNZI WALIYO UNGANA KUZIKWA LEO

KOZI ZA KUJIFUNZA KUTUMIA KOMPYUTA SASA ZINATOLEWA HAPA CHUO, KWA YEYOTE YULE ANAYE HITAJI FIKA HAPA CHUONI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KOSOMA KOZI HII.

UONGOZI WA CHUO CHA LISBON BUSINESS COLLEGE UNAYO FURAHA KUWAKARIBISHA WATU WOTE KWA AJIRI YA KUJIUNGA NA CHUO KWA MWAKA HUU WA MASOMO 2018/2019