Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Tuesday, November 17, 2015

ORIENTATION SCHEDULE

Each department required to prepare a framework of what should be done during the day of orientation week on his or her session and submit it to Academic Head of Department office before Friday, 20/11/2015 .  

ORIENTATION WEEK. 23/11/2015 - 27/11/2015



Wednesday, November 11, 2015

TANGAZO LA KAZI

CHUO KINAPENDA KUTANGAZA KAZI KWA YEYOTE ANAYEWEZA KUTENGENEZA WEBSITE AFIKE CHUONI AU AWASILIANA NA CHUO KWA NAMBA 0718457311. 

UNAOMBWA KUFIKA NA INVOICE PAMAJA NA DEMO ZA KAZI MBALIMBALI ZA WEBSITE ULIZOFANYA. 

ASANTE.

TANGAZO LA AJIRA


KOZI YA COMPUTER


Monday, September 14, 2015

NAFASI ZA MASOMO

Lisbon Business College ni chuo kinachotoa mafunzo kwa kozi za cheti na diploma sasa kinatangaza nafasi za masomo kwa kazi hizo.

Certificate in Accounting  (NABE)
Certificate in Store keeping  (NABE)
Basic Computer Application (BCA)

Walengwa ni wote waliomaliza kidato cha nne na kuendele. Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana Chuoni au kwenye tuvuti yua chuo www.lisbonbusinesscollege.ac.tz. 
Kwa mawasiliana zaidi wasiliana mija kwa moja na uongozi wa chuo kwa namba +255 718 457311,




BADO SIKU 39, KUFIKIA UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA


Friday, September 4, 2015

MATOKEO YA NABE YATOKA

MATOKEO YA MTIHANI WA NABE KWA WANAFUNZI WA HATUA YA KWANZA YATOKA, KUYAPATA TEMBELEA HAPA


Wednesday, September 2, 2015

TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE

Taarifa maalumu kwa wanafunzi  wote.

Imetokea kuwa ni mazoea kwa wanafunzi kutozingatia sheria za chuo na hivyo kupunguza ufanisi katika masomo yao. chuo kinapenda kuwakumbusha na kuwatahadhalisha wanafunzi wote kuhusiana na ufuatwaji wa sheria za chuo. kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakichelewa kufika madarasani na katika vyumba vya kufanyia mitihani. chuo kinapendekeza adhabu kali zitolewe na walimu kwa mwanafunzi yeyote atakekiuka sheria za chuo. kwa mfano mwanafunzi atakapochelewa kuingia darasana zaidi ya dakika 15 azuiliwe kuingia darasani na pia katika mitihani ya ngazi zozote zile itakayo fanyika hapa chuoni kama mwanafunzi atachalewa kuwasili zaidi ya dakika 30 basi azuiliwe kufanya mtihani huo. Kwa utaratibu huu wanafunzi na walimu wao watafanikiwa katika kuimarisha nidhamu ya masomo kwa wanafunzi na kuboresha maendeleo ya elimu kwao.

Imetolewa na Mkuu wa chuo
Lisbon Business College

TANGAZO TANGAZO TANGAZO



Saturday, August 15, 2015

UONGOZI WA CHUO UNATOA SHUKRANI KWA WOTE WALIOSAIDIA KUFANIKISHA ZOEZI ZA UKAGUZI WA NACTEM

Mkuu wa na chu kwa niaba ya uongozi wa chuo anatoa shukrani kwa wale wote waliofanikisha zoezi zima la ukaguzi wa chuo kutoka NACTE kwa kwamba zoezi lilifanyika vizuri na kwa mafanikio makubwa.
 hivyo basi tunawashuku wote walioshiriki na kusema ASANTENI.
KUTOKA KULIA NI MKUU WA CHUO AKIWA NA WAGANE WAKE KUTOKA NACTE. WANAOFUATA NI DR MBUYA.

WAFANYAKAZI NA UONGOZI WOTE WA CHUO CHA LISBONI KATIKA PICHA YA PAMOJA

WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO CHA LISBON


Thursday, July 30, 2015

KUTOKA KWA MKUU WA CHUO. LISBON COLLEGE

MKUU WA CHUO CHA LISBON ANAPENDA KUUTANGAZIA UMA KWAMBA CHUO KITAFUNGULIWA TAREHE 3/8/2015. WANAFUNZI WOTE MNAOMBWA KLUFIKA TAREHE TAJWA BILA KUKOSA. WOTE MNAKARIBISHWA

MATOKEO YA MITIHANI YA JUNE/JULY




Thursday, June 18, 2015

NEW PROJECT LAUNCHED BY LISBON BUSINESS COLLEGE. 2015




TAARIFA KWA WANAFUNZI.

MKUU WA CHUO ANAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE KWAMBA MITIHANI YA KUFUNGA CHUO ITAANZA TAREHE 29/6/2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 6/7/2015 PIA CHUO KITAFUNGWA SIKU HIO.

CHUO KITAFUNGULIWA TENA TAREHE 3/8/2015 NA MUHURA MPYA WA MASOMO UTAANZA TAREHE HIO. WALE WOTE AMBAO HAWAJAMALIZA MALIPO NA USAJIRI MNAOMBWA KUKAMILISHA MAPEMA.

IMETOLEWA NA MKUU WA CHUO

LISBON BUSINESS COLLEGE

LISBON BUSINESS COLLEGE





Sunday, June 14, 2015

CHUO KINATANGAZA KOZI MPYA UWALIMU WA CHEKECHEA. EARLY CHILDHOOD AND CARE EDUCATION (ECCE)

CHUO KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA KOZI MPYA YA WALIMU WA CHEKECHEA.




CHUO KINATANGAZA TENDA KWA WAJASIRIAMALI WOTE WA KUSHONA NGU.

Lisbon Business College inatangaza kwa wote wenye ubunifu wa kutengeneza mavazi ya wanafunzi yani Unifomu kwamba chuo kina uhitaji wa sare za wanafunzi. hivyo basi chuokinatoa tenda kwa mtu yeyote ambaye anaweza kutengeneza sare nzuri na kuleta sampo chuoni ili kupata tenda ya kutengeneza sare za wanafunzi wa Lisbon Business College.





Friday, April 3, 2015

PASAKA NJEMA KWA WATU WOTE.

BODI YA CHUO, DIRECTORS WA CHUO, MKUU WA CHUO, WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO PAMOJA NA SERIKALI YA WANAFUNZI YA CHUO INAWATAKIA SIKUKUU NJEMA ZA IJUMAA KUU NA PASAKA.

Thursday, April 2, 2015

NEW!!!!! NEW!!!!! NEW!!!!

TAARIFA KUTOKA KWA MKUU WA CHUOMKUU WA CHUO ANAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE KWAMBA CHUO KITAFUNGWA LEO SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 3/4/2015 KWA AJIRI YA KUPISHA SIKUKUU ZA PASAKA. CHUO KITAFUNGULIWA TENA SIKU YA JUMATANO TAREHE 7/4/2015 NA MASOMO YATAANZA SIKU HIO.


Saturday, March 14, 2015

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

WALE WOTE WALIOCHUKUA FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO MNAOMBWA KUFIKA CHUONI SIKU YA JUMANNE TAREHE 17/3/2014 KWA AJIRI YA USAHIRI.

Saturday, March 7, 2015

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA LISBON COLLEGE

CP .  Ba Ec. Calvin Obeld

MKUU WA CHUO CHA LISBON BUSINESS, ANAYO FURAHA KUWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA SIKU YA MWANAMKE DUNIANI, LISBON BUSINESS COLLEGE INAYO FURAHA KUBWA KATIKA SIKUKUU YA LEO