Each department required to prepare a framework of what should be done during the day of orientation week on his or her session and submit it to Academic Head of Department office before Friday, 20/11/2015 .
Lisbon College
Tuesday, November 17, 2015
Wednesday, November 11, 2015
TANGAZO LA KAZI
CHUO KINAPENDA KUTANGAZA KAZI KWA YEYOTE ANAYEWEZA KUTENGENEZA WEBSITE AFIKE CHUONI AU AWASILIANA NA CHUO KWA NAMBA 0718457311.
UNAOMBWA KUFIKA NA INVOICE PAMAJA NA DEMO ZA KAZI MBALIMBALI ZA WEBSITE ULIZOFANYA.
ASANTE.
Tuesday, November 10, 2015
Monday, October 26, 2015
Tuesday, September 15, 2015
Monday, September 14, 2015
NAFASI ZA MASOMO
Lisbon Business College ni chuo kinachotoa mafunzo kwa kozi za cheti na diploma sasa kinatangaza nafasi za masomo kwa kazi hizo.
Certificate in Accounting (NABE)
Certificate in Store keeping (NABE)
Basic Computer Application (BCA)
Walengwa ni wote waliomaliza kidato cha nne na kuendele. Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana Chuoni au kwenye tuvuti yua chuo www.lisbonbusinesscollege.ac.tz.
Kwa mawasiliana zaidi wasiliana mija kwa moja na uongozi wa chuo kwa namba +255 718 457311,
Sunday, September 13, 2015
Friday, September 4, 2015
Wednesday, September 2, 2015
TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE
Taarifa maalumu kwa wanafunzi wote.
Imetokea kuwa ni mazoea kwa wanafunzi kutozingatia sheria za chuo na hivyo kupunguza ufanisi katika masomo yao. chuo kinapenda kuwakumbusha na kuwatahadhalisha wanafunzi wote kuhusiana na ufuatwaji wa sheria za chuo. kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakichelewa kufika madarasani na katika vyumba vya kufanyia mitihani. chuo kinapendekeza adhabu kali zitolewe na walimu kwa mwanafunzi yeyote atakekiuka sheria za chuo. kwa mfano mwanafunzi atakapochelewa kuingia darasana zaidi ya dakika 15 azuiliwe kuingia darasani na pia katika mitihani ya ngazi zozote zile itakayo fanyika hapa chuoni kama mwanafunzi atachalewa kuwasili zaidi ya dakika 30 basi azuiliwe kufanya mtihani huo. Kwa utaratibu huu wanafunzi na walimu wao watafanikiwa katika kuimarisha nidhamu ya masomo kwa wanafunzi na kuboresha maendeleo ya elimu kwao.
Imetolewa na Mkuu wa chuo
Lisbon Business College
Saturday, August 15, 2015
UONGOZI WA CHUO UNATOA SHUKRANI KWA WOTE WALIOSAIDIA KUFANIKISHA ZOEZI ZA UKAGUZI WA NACTEM
Mkuu wa na chu kwa niaba ya uongozi wa chuo anatoa shukrani kwa wale wote waliofanikisha zoezi zima la ukaguzi wa chuo kutoka NACTE kwa kwamba zoezi lilifanyika vizuri na kwa mafanikio makubwa.
hivyo basi tunawashuku wote walioshiriki na kusema ASANTENI.
hivyo basi tunawashuku wote walioshiriki na kusema ASANTENI.
KUTOKA KULIA NI MKUU WA CHUO AKIWA NA WAGANE WAKE KUTOKA NACTE. WANAOFUATA NI DR MBUYA. |
WAFANYAKAZI NA UONGOZI WOTE WA CHUO CHA LISBONI KATIKA PICHA YA PAMOJA |
WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO CHA LISBON |
Thursday, July 30, 2015
KUTOKA KWA MKUU WA CHUO. LISBON COLLEGE
MKUU WA CHUO CHA LISBON ANAPENDA KUUTANGAZIA UMA KWAMBA CHUO KITAFUNGULIWA TAREHE 3/8/2015. WANAFUNZI WOTE MNAOMBWA KLUFIKA TAREHE TAJWA BILA KUKOSA. WOTE MNAKARIBISHWA
Thursday, June 18, 2015
TAARIFA KWA WANAFUNZI.
MKUU WA CHUO ANAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE KWAMBA MITIHANI YA KUFUNGA CHUO ITAANZA TAREHE 29/6/2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 6/7/2015 PIA CHUO KITAFUNGWA SIKU HIO.
CHUO KITAFUNGULIWA TENA TAREHE 3/8/2015 NA MUHURA MPYA WA MASOMO UTAANZA TAREHE HIO. WALE WOTE AMBAO HAWAJAMALIZA MALIPO NA USAJIRI MNAOMBWA KUKAMILISHA MAPEMA.
IMETOLEWA NA MKUU WA CHUO
LISBON BUSINESS COLLEGE
Sunday, June 14, 2015
CHUO KINATANGAZA TENDA KWA WAJASIRIAMALI WOTE WA KUSHONA NGU.
Lisbon Business College inatangaza kwa wote wenye ubunifu wa kutengeneza mavazi ya wanafunzi yani Unifomu kwamba chuo kina uhitaji wa sare za wanafunzi. hivyo basi chuokinatoa tenda kwa mtu yeyote ambaye anaweza kutengeneza sare nzuri na kuleta sampo chuoni ili kupata tenda ya kutengeneza sare za wanafunzi wa Lisbon Business College.
Friday, April 3, 2015
PASAKA NJEMA KWA WATU WOTE.
BODI YA CHUO, DIRECTORS WA CHUO, MKUU WA CHUO, WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO PAMOJA NA SERIKALI YA WANAFUNZI YA CHUO INAWATAKIA SIKUKUU NJEMA ZA IJUMAA KUU NA PASAKA.
Thursday, April 2, 2015
NEW!!!!! NEW!!!!! NEW!!!!
Saturday, March 14, 2015
TANGAZO TANGAZO TANGAZO
WALE WOTE WALIOCHUKUA FOMU ZA KUJIUNGA NA CHUO MNAOMBWA KUFIKA CHUONI SIKU YA JUMANNE TAREHE 17/3/2014 KWA AJIRI YA USAHIRI.
Saturday, March 7, 2015
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA LISBON COLLEGE
Subscribe to:
Posts (Atom)