Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Wednesday, June 6, 2018

AJARI YA BASI NA TRENI YAUA


Leo June 6, 2018 Bus la  Princess HAMIDA trans lenye namba za usajili T 885 DLD linalotoka Kigoma kwenda Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora limegonga gari moshi la mizigo katika eneo la Gungu Wilaya ya Kigoma mjini.
Watu saba wamefariki huku idadi ya vifo ikihofiwa kuongezeka kutokana na hali mbaya za majeruhi.
Inaelezwa kuwa basi hilo nilikuwa likitoka Kigoma kuelekea Tabora.

No comments:

Post a Comment