Prof. NDALICHAKO AKILIA MARA TU BAADA YA KUONA MIILI YA WATOTO MARIA NA CONSOLATA
Leo June 6, 2018 Watu mbalimbali wamejitokeza kuwaaga Pacha waliounganaakiwemo Waziri Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ambapo ametoa heshima za mwisho kwa Miili ya Maria na Consolata.
LIVE MAGAZETI: JENEZA LA MARIA NA CONSOLATA LAWATOA JASHO MAFUNDI, VURUGU ZA TIKISA BUNGE
No comments:
Post a Comment