Mkuu wa chuo cha Lisbon Business College kilichosajiriwa na NACTE kwa usajiri namba REG/BTP/064,Anatangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma ktk kozi zifuatazo:
1.Accounting
2.Business Administration
3.Tourism and Hotel management.
4.Procurement and logistics management
5.Computer Science IT.
Pia kwa kushirikiana na Lisbon Teacher's college chuo kinatangaza kozi mpya ya:
->Nursery and primary teaching.
Vile vile chuo kinatoa kozi za muda mfupi kama:
1. Graphic Designing.
2. Computerized accounting
3. Basic computer applications
4. NABE courses.
Na nyingne nyingi.
Walengwa ni wahitimu wa kidato cha nne na kuendea au kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali. Ada ni nafuu na italipwa kwa awamu mbili mpaka tatu. Muhula wa masomo utaanza tarehe 14/03/2016
Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana chuoni au kwenye mtandao www.lisbonbusinesscollege.ac. tz au kupitia NACTE.
Chuo kinapatikana UBUNGO Riverside karibu na mabibo hostel-UDSM.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba: 0654369056, 0682138990,0765970641, E-mailinfo.lisboncollege@gmail.com.
Pia chuo kina Hostel ambazo zipo chuoni na mwanafunzi hatogharamia usafiri. Wote mnakaribishwa.
LISBON COLLEGE-UHURU NI WAJIBU.
No comments:
Post a Comment