Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Wednesday, February 10, 2016

TANGAZO LA KIKAO SIKU YA IJUMAA TAREHE 12/02/2016

MKUU WA CHUO ANAWATANGAZI WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO KILA IDARA KWAMBA KUTAKUA NA KIKAO CHA WAFANYAKAZI WOTE KWANZIA SAA TANO KAMILI ASUBUHI MPAKA SAA SABA MCHANA. AGENDA ZA KIKAO ZIMEAINISHWA KATIKA TAARIFA FUPI ZA KIKAO. WOTE MNAOMBWA KUHUDHULIA.

No comments:

Post a Comment