Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Friday, September 4, 2015

MATOKEO YA NABE YATOKA

MATOKEO YA MTIHANI WA NABE KWA WANAFUNZI WA HATUA YA KWANZA YATOKA, KUYAPATA TEMBELEA HAPA


Wednesday, September 2, 2015

TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE

Taarifa maalumu kwa wanafunzi  wote.

Imetokea kuwa ni mazoea kwa wanafunzi kutozingatia sheria za chuo na hivyo kupunguza ufanisi katika masomo yao. chuo kinapenda kuwakumbusha na kuwatahadhalisha wanafunzi wote kuhusiana na ufuatwaji wa sheria za chuo. kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakichelewa kufika madarasani na katika vyumba vya kufanyia mitihani. chuo kinapendekeza adhabu kali zitolewe na walimu kwa mwanafunzi yeyote atakekiuka sheria za chuo. kwa mfano mwanafunzi atakapochelewa kuingia darasana zaidi ya dakika 15 azuiliwe kuingia darasani na pia katika mitihani ya ngazi zozote zile itakayo fanyika hapa chuoni kama mwanafunzi atachalewa kuwasili zaidi ya dakika 30 basi azuiliwe kufanya mtihani huo. Kwa utaratibu huu wanafunzi na walimu wao watafanikiwa katika kuimarisha nidhamu ya masomo kwa wanafunzi na kuboresha maendeleo ya elimu kwao.

Imetolewa na Mkuu wa chuo
Lisbon Business College

TANGAZO TANGAZO TANGAZO



Saturday, August 15, 2015

UONGOZI WA CHUO UNATOA SHUKRANI KWA WOTE WALIOSAIDIA KUFANIKISHA ZOEZI ZA UKAGUZI WA NACTEM

Mkuu wa na chu kwa niaba ya uongozi wa chuo anatoa shukrani kwa wale wote waliofanikisha zoezi zima la ukaguzi wa chuo kutoka NACTE kwa kwamba zoezi lilifanyika vizuri na kwa mafanikio makubwa.
 hivyo basi tunawashuku wote walioshiriki na kusema ASANTENI.
KUTOKA KULIA NI MKUU WA CHUO AKIWA NA WAGANE WAKE KUTOKA NACTE. WANAOFUATA NI DR MBUYA.

WAFANYAKAZI NA UONGOZI WOTE WA CHUO CHA LISBONI KATIKA PICHA YA PAMOJA

WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO CHA LISBON


Thursday, July 30, 2015

KUTOKA KWA MKUU WA CHUO. LISBON COLLEGE

MKUU WA CHUO CHA LISBON ANAPENDA KUUTANGAZIA UMA KWAMBA CHUO KITAFUNGULIWA TAREHE 3/8/2015. WANAFUNZI WOTE MNAOMBWA KLUFIKA TAREHE TAJWA BILA KUKOSA. WOTE MNAKARIBISHWA

MATOKEO YA MITIHANI YA JUNE/JULY