Lisbon College

Lisbon College
lbsc

Sunday, February 7, 2016

WADAIWA WOTE WATAKIWA KULIPIA MADENI YAO.

Kwa wale wote ambao hawajamalia madeni yao mnaombwa kulipia mapema kwenye Account Number ya Chuo;

CRDB 01502752201700 MABIBO BRANCH.

Kushindwa kufanya hivyo mapema utakuwa umepteza sifa ya kuwa mwanachuo.

Imetolewa na uongozi wa chuo LBC.

Friday, February 5, 2016

IDADI YA KOZI NA MCHANGANUO WAKE ZITOLEWAZO HAPA CHUONI

 
 





MKUTANO MKUU WA LISO WAFANYIKA IJUMAA HII 5/2/2016


MALENGO MAKUU YA MKUTANO HUU NI KUTAMBULISHA UONGOZI MPYA WA CHUO PAMOJA NA KUKUMBUSHANA YALE YA MUHIMU KAMA WANAFUNZI ANAYOPASWA KUYAFUATA. 

MKUTANO HUU ULIHUDHURIWA NA RAISI WA CHUO PAMOJA NA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI PIA NA WANAFUNZI WOTE KWA UJUMLA.

TANGAZO LA KAZI

maombi yafanyike kwa kutuma CV na Cover Later Chuoni kwenye email: info.lisboncollege@gmail.com.

kwa mawasiliano zaidi piga namba zifuatazo;
0718457311, 0765970641
Mkuu wa chuo cha Lisbon Business College  kilichosajiriwa na NACTE kwa usajiri namba REG/BTP/064,Anatangaza nafasi za masomo kwa ngazi ya cheti na diploma ktk kozi zifuatazo:
1.Accounting
2.Business Administration
3.Tourism and Hotel management.
4.Procurement and logistics management
5.Computer Science IT.


Pia kwa kushirikiana na Lisbon Teacher's college chuo kinatangaza kozi mpya ya:
->Nursery and primary teaching.
Vile vile chuo kinatoa kozi za muda mfupi kama:


1. Graphic Designing.
2. Computerized accounting
3. Basic computer applications
4. NABE courses.
Na nyingne nyingi.


Walengwa ni wahitimu wa kidato cha nne na kuendea au kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali. Ada ni nafuu na italipwa kwa awamu mbili mpaka tatu. Muhula wa masomo utaanza tarehe 14/03/2016
Fomu za kujiunga na chuo zinapatikana chuoni au kwenye mtandao www.lisbonbusinesscollege.ac.tz au kupitia NACTE. 

Chuo kinapatikana UBUNGO Riverside karibu na mabibo hostel-UDSM.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba:  0654369056, 0682138990,0765970641, E-mailinfo.lisboncollege@gmail.com.
Pia chuo kina Hostel ambazo zipo chuoni na mwanafunzi hatogharamia usafiri. Wote mnakaribishwa.
LISBON COLLEGE-UHURU NI WAJIBU.

Tuesday, November 17, 2015

ORIENTATION SCHEDULE

Each department required to prepare a framework of what should be done during the day of orientation week on his or her session and submit it to Academic Head of Department office before Friday, 20/11/2015 .  

ORIENTATION WEEK. 23/11/2015 - 27/11/2015