![]() |
Lisbon College
lbsc
Friday, February 12, 2016
Wednesday, February 10, 2016
TANGAZO LA KIKAO SIKU YA IJUMAA TAREHE 12/02/2016
MKUU WA CHUO ANAWATANGAZI WAFANYAKAZI WOTE WA CHUO KILA IDARA KWAMBA KUTAKUA NA KIKAO CHA WAFANYAKAZI WOTE KWANZIA SAA TANO KAMILI ASUBUHI MPAKA SAA SABA MCHANA. AGENDA ZA KIKAO ZIMEAINISHWA KATIKA TAARIFA FUPI ZA KIKAO. WOTE MNAOMBWA KUHUDHULIA.
MAGAZINE YA AWESOME SASA KUTINGA LISBON COLLEGE MAPEMA, PATA KUJUA MENGI PAMOJA NA AWEPUZZLE.
Magazeti haya ya kila mwezi hutolewa bure na kwa hapa chuoni yanapatikana Maktaba ya chuo na Kila ofisi hapa chuoni. Pata nakala yako sasa.
WANAFUNZI WA BCA, WAKIWA DARASANI
Tuesday, February 9, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)



























